Home Mchanganyiko MKUU MPYA WA KIKOSI MAALUM CHA KUZUIA MAGENDO ZANZIBAR ATEMBELEA ENEO LA...

MKUU MPYA WA KIKOSI MAALUM CHA KUZUIA MAGENDO ZANZIBAR ATEMBELEA ENEO LA KMKM SPORTS CLUB

0

Mkuu wa Utawala na Fedha Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Capt. Khamis Taji Khamis akimsalimia Mkuu Mpya wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri alipofika Club ya kmkm kuona maeneo ya club hiyo ikiwa ni miongoni mwa ziara zake.

Katibu KMKM Sports Club Lutn. Sheha Muhammed Ali akimpa maelezo ya Club Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri alipofika kuona maeneo na mipaka ya Club Maisara Mjini Unguja.

Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri akitoa maagizo kwa Maafisa wa Kuu wake katika ziara zake ya kutembelea maeneo ya KMKM.

Naibu Mkuu wa KMKM Capt. Khamis Simba Khamis akiagana na Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri baada ya kumaliza ziara yake KMKM Sports Club Maisara.

Picha na Makame Mshenga KMKM