Wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakiwa katika picha ya pamoja kwenye sherehe za Mei Mosi, zilizofanyika katika Uwanja wa Kirumba, jijini Mwanza leo tarehe 01.05.2021 Kazi iendelee.
Wafanyakazi bora wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wa kwanza hadi watatu ni Rose Joseph Maro (Katikati), wapili ni Latifa Abdala Kigoda (kushoto) na watatu ni Juma Ally Nzima (kulia) wakiwa katika sherehe za Mei Mosi, zinazofanyika katika Uwanja wa Kirumba, jijini Mwanza leo tarehe 01.05.2021.
Wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakiwa katika sherehe za Mei Mosi, zilizofanyika katika Uwanja wa Kirumba, jijini Mwanza leo tarehe 01.05.2021.
Wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakiwa katika Maandamano kwenye sherehe za Mei Mosi, zilizofanyika katika Uwanja wa Kirumba, jijini Mwanza leo tarehe 01.05.2021.