Baadhi ya Watumishi wa Shirika la Bima la Taifa NIC , waliohudhuria maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam huku Watumishi wakiwa wamebeba ujumbe unaosema *MASLAHI BORA ,MISHAHARA JUU,KAZI IENDELEE*
*UWAJIBIKAJI,NIDHAMU, MASLAHI BORA, KAZI IENDELEE*
*SISI NDIO BIMA*