Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), wakiwa wameshikilia bango lenye kauli mbiu ya Maslahi bora, Mishahara juu kazi iendelee ikiwa ni siku ya wafanyakazi Duniani yaliofanyika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam huku maadhimisho yake Kitaifa yakiwa yamefanyika jiji la Mwanza.
Picha ya pamoja ya Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam