Home Siasa RAIS MHE.SAMIA SULUHU ASHINDA KWA KISHINDO UENYEKITI CCM

RAIS MHE.SAMIA SULUHU ASHINDA KWA KISHINDO UENYEKITI CCM

0

****************************

NA EMMANUEL MBATILO

Rais wa Jamhuri ya Munngano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kwa asilimia 100, kura zilizopigwa ni 1862 na kura zote ni za NDIO hakuna kura ya HAPANA.

Mkutano huo unamehudhuriwa na Wajumbe 1,876 na wageni waalikwa takribani elfu moja kutoka ndani na nje ya nchi.