Home Siasa LAZARO NYALANDU AREJEA CCM,

LAZARO NYALANDU AREJEA CCM,

0
****************************
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu na kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kwa tiketi ya CHADEMA, Lazaro Samwel Nyalandu ametangaza kurejea Chama Cha Mapinduzi akisema ameamua kurejea nyumbani.
Nyalandu ametangaza kurejea CCM leo Ijumaa Aprili 30,2021 wakati wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi