Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, leo Apiril 28,2021 ameshiriki katika Kikao (Maalum) cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichoketi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM wakijiandaa kuanza Kikao (Maalum) cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichoketi leo April 28,2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)