Home Mchanganyiko DR MKOKO AWA MTANZANIA WA KWANZA KUPATA PHD KATIKA UANDISHI WA HABARI

DR MKOKO AWA MTANZANIA WA KWANZA KUPATA PHD KATIKA UANDISHI WA HABARI

0

Mwandishi wa Habari na Mhadhiri wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam Egbert Mkoko, leo ametunukiwa shahada ya udaktari wa falsafa katika uandishi wa habari (PhD in Journalism and Media Studies) katika Chuo Kikuu cha Nelson Mandela mjini Port Elizabeth, Afrika Kusini.

Dr. Mkoko anakuwa ni mtanzania wa Kwanza kupata PHD katika Uandishi wa habari.