MichezoMANCHESTER CITY YAICHAPA 1-0 SPURS NA KUTWAA CARABAO YA NNE MFULULIZO ENGLAND Last updated: 2021/04/26 at 5:49 AM Alex Sonna 4 years ago Share SHARE TIMU ya Manchester City imetwaa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup kwa mara ya nne mfululizo kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspur leo bao pekee la Aymeric Laporte dakika ya 82 Uwanja wa Wembley. Alex Sonna April 26, 2021 April 26, 2021 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article ZAHANATI MPYA LUPONDE YAANZA KUTOA HUDUMA,WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI Next Article BARABARA YA ITONI – LUSITU KUJENGWA KIWANGO CHA LAMI