WAJUMBE wa Kamati ya Katiba na Kamati ya Mabadiliko wakikabidhi ripoti ya katiba na muundo pendekezwa kwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Dk. Mshindo Msolla kwa niaba ya Kamati ya Utendaji akiambatana na sektretarieti ya klabu kuashiria kukamilika kwa shughuli hiyo.