Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geofrey Mwambe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini, Wang Ke (kushoto) na kulia ni Naibu Waziri wa ofisi hiyo, Mhe. William Ole Nasha.Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia hoja za Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini, Wang Ke (hayupo pichani).Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geofrey Mwambe akizungumza wakati wa kikao hicho.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geofrey Mwambe akiteta jambo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini, Wang Ke alipomtembelea ofisini kwake hii Leo Aprili 22, 2021 Jijini Dodoma.
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini, Wang Ke akizungumza kuhusu uboreshwaji wa mazingira ya uwekezaji nchini kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geofrey Mwambe alipomtembelea na kufanya mazungumzo tarehe 22 Aprili, 2021 katika ofisi ya Waziri Mkuu Mtaa wa Reli Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Aristides Bwasi akichangia jambo wakati wa kikao hicho.