RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo ambae pia ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bi. Tabia Makame Mohammed, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wajane Zanzibar.(ZAWIO) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Mgeni Hassan Juma, wakati wa mkutano wake na Uongozi wa Taasisi hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bi. Tabia Makame Mohammed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) Bi. Tabia Makame Mohammed,(kulia kwa Rais) wakati walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)