RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Al-Azhar Magomeni Jijini Zanzibar, ikiongozwa na Ust. Ali Jabir.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akitikia dua ikisomwa na Ust.Ali Jabir, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, husaliwa katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani baada ya Sala ya Isha, iliofanyika katika Masjid Al Azhar Magomeni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Ust. Ali Jabir (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Al Azhar Magomeni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)