Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo Tarehe 16 April 2021
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2021/04/unnamed-1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2021/04/unnamed-2.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2021/04/unnamed-3.jpg)
Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga ,wakiondoka mara baada ya kumaliza mazungumzo na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dodoma leo Tarehe 16 April 2021