Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Godwin Gondwe akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mama Mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, Bi. Monica Tongori Nyabyamari aliyefariki Dunia usiku wa kuamkia tarehe 10/04/2021 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Picha na Jeshi la Polisi