Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Ugeni wa Wabunge wanne kutoka Bunge la Uganda waliotembelea Bunge la Tanzania mapema leo. Wa kwanza kulia ni Kiongozi wa Msafara huo Mhe. Jacquiline Amongin, anayefuatia Mhe. Bangirana Anifa Kawooya na wa kwanza kushoto ni Mhe. Elijah Okupa na anayefuatia ni Mhe. Felix Okoto Ogong.
Kiongozi wa Msafara wa Wabunge wanne kutoka Bunge la Uganda Mhe. Jacquiline Amongin (kulia) akiukabidhi ujumbe kutoka kwa Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Rebbeca Kadaga kwa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai wakati walipotembelea Bunge la Tanzania mapema leo.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Ugeni wa Wabunge wanne kutoka Bunge la Uganda waliotembelea Bunge la Tanzania mapema leo. Kutoka kulia ni Mhe. Felix Okoto Ogong, Mhe. Bangirana Anifa Kawooya, Mhe. Jacquiline Amongin na Mhe. Elijah Okupa.
PICHA NA BUNGE