RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) unaozungumzia Masuala ya Ulinzi na Usalama wa Nchi za Jumuiya hiyo uliofanyika Maputo Nchini Msumbiji akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ukingozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Msumbuji Mhe Fellipe Jacinto Nyusi.(Picha na Ikulu)