Home Mchanganyiko RAIS MH. SAMIA SULUHU ATEUA MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI

RAIS MH. SAMIA SULUHU ATEUA MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassana amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu wa Wizara, Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara na Wakuu wa Taasisi mbalimbali