WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akizungumza na watumishi wa wizara hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi Magari 38 kwa wathibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe Omary Kipanga,akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Magari 38 kwa wathibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bw.Moshi Kabengwe,akieleze mikakati wakati wa hafla ya kukabidhi Magari 38 kwa wathibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wakifatilia Hotuba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,wakati wa hafla ya kukabidhi Magari 38 kwa wathibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya Magari yaliyotolewa kwa wathibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akikata utepe kuashiria ugawaji wa Magari 38 kwa wathibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akiingia kwenye gari mara baada ya kukabidhi Magari 38 kwa wathibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akiwa ndani ya gari akienda mara baada ya kuwakabidhi Magari 38 wathibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akimkabidhi ufunguo wa gari Mthibiti Mkuu ubora wa Shule Kanda ya Ziwa Bw.Victor Bwindiki mara baada ya kuwakabidhi Magari 38 wathibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akiwa na Naibu wake Mhe Omary Kipanga wakimsikiliza Mthibiti Mkuu ubora wa Shule Kanda ya Ziwa Bw.Victor Bwindiki wakati akitoa neno la shukrani mara baada ya Waziri Kukabidhi Magari 38 kwa Wathibiti Ubora wa Shule za Kanda na Wilaya hafla iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
……………………………………………………………………………..
Na.Alex Sonna,Dodoma
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Mhe.Omary
Kipanga amewataka wathibiti Ubora wa shule kuyatumia magari hayo kwa
malengo yaliyokusudiwa na siyo vinginevyo.