Home Mchanganyiko SIMBACHAWENE AWASILISHA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA KIPINDI CHA...

SIMBACHAWENE AWASILISHA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA KIPINDI CHA MWAKA 2020/2021 NA MPANGO WA BAJETI 2021/2022 JIJINI DODOMA.

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwasilisha Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Inspekta Jenerali wa Polisi,Simon Sirro akizungumza wakati wa Uwasilishaji wa Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,Suleiman Mzee, akizungumza wakati wa Uwasilishaji wa Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt.Anna Makakala akizungumza wakati wa Uwasilishaji wa Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Chilo akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala baada ya kumaliza Uwasilishaji waTaarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi