Home Mchanganyiko MWANZA WAFURIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA KUMUAGA JEMEDARI HAYATI DK. MAGUFULI

MWANZA WAFURIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA KUMUAGA JEMEDARI HAYATI DK. MAGUFULI

0

Picha mbalimbali zikionesha wananchi wa jiji la Mwanza na maeneo ya jirani  wakiwa wamewasili katika uwanja wa CCM Kirumba  tayari kwa ajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17,2021 Dar es salaam .