Home Michezo VIONGOZI,WACHEZAJI WA YANGA SC WASHIRIKI KUMUAGA HAYATI JOHN MAGUFULI

VIONGOZI,WACHEZAJI WA YANGA SC WASHIRIKI KUMUAGA HAYATI JOHN MAGUFULI

0

 

KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Abdul Razak Fiston akiwoangoza wachezaji wenzake na Maafisa mbalimbali kwenda kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli aliyefariki dunia Machi 17, mwaka huu leo uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Yanga, Dk Mshindo Msolla kiwoangoza wachezaji wenzake na Maafisa mbalimbali kwenda kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli