Home Mchanganyiko KAMATI YA MIUONDOMBIUN YATEMBELEA MRADI WA DARAJA LA SELANDER

KAMATI YA MIUONDOMBIUN YATEMBELEA MRADI WA DARAJA LA SELANDER

0

Mshauri Muelekezi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander Mhandisi Lulu
Dunia  akiwaonyesha Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu hatua
mbalimbali zilizofikiwa katika ujenzi wa Daraja jipya la Slender
wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo
pamoja na barabara unganishi .

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROAD), Mhandisi Patrick
Mfugale akitoa ufanafanuzi wa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Miundombinu wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa
daraja hilo pamoja na barabara unganishi .

PICHA NA OFISI YA BUNGE