Home Mchanganyiko KAMATI YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAMA

KAMATI YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAMA

0

Mhandisi Msimamizi wa Mradi wa uboreshaji wa Gati namba 1 hadi 7 za
Bandari ya Dar es Salaam, Gregory Mwita kiwaelezea Wajumbe wa Kamati
ya Bunge ya Miundombinu maendeleo ya maboresho hayo wakati wajumbe hao
walipotembelea Bandari ya Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Elihuruma Lema akiwaonyesha
wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Bunge kipimo cha mafuta (flow
meter) wakati wajumbe hao walipotembelea Bandari ya Dar es Salaam
kukagua miradi mbalimbali ikiwemo uboreshaji wa Gati namba moja hadi
saba.

PICHA NA OFISI YA BUNGE