Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KHOJA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KHOJA SHIA ITHNA SHERI IKULU LEO.

0

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithan Sheri walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu na (kulia kwa Rais ) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithna Sheri Afrika Alhaj Shabir Najafi kutoka Kampala Uganda akiongozana na Ujumbe huo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bw. Munir Daya akitowa maelezo ya Kitabu cha Jumuiya hiyo kabla ya kumkabidhi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.na (kulia kwake) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithan Sheri Afrika kutoka Kampala Uganda Alhajj Shabir Najafi na Mamamu Mwenyekiti wa Bw. Aunali K.Khalfan a(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithna Asheri Bw. Aunali K.Khalfan akitowa maelezo ya Jumuiya hiyo wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kutoka Uganda Kampala  Alhajj Shabir Najafi.(Picha na Ikulu)