Home Biashara Kampuni ya Vodacom yatwaa Tuzo za Tanzania Digital Awards 2020/2021

Kampuni ya Vodacom yatwaa Tuzo za Tanzania Digital Awards 2020/2021

0

Meneja wa Chaneli za Kidijitali na malipo kwa mtandao M-Pesa (Digital Channels and Online payments ) wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC Josephine Mushi akipokea tuzo za Tanzania Digital Awards kutoka kwa Afisa Uendeshaji wa kampuni ya Serengeti Bytes,  Michael Mallya, Vodacom imeshinda tuzo mbili, zana (App) bora ya huduma za kifedha kupitia M-Pesa App na kampeni bora ya masoko mtandaoni ambapo kampeni ya  “Yajayo Yanafurahisha” ilishinda.

Meneja Mawasiliano wa Kampuni hiyo, Alex Bitekeye (kushoto) akipokea tuzo za Tanzania Digital Awards kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Serengeti Bytes,  Kennedy Mmari, Vodacom imeshinda tuzo mbili, zana (App) bora ya huduma za kifedha kupitia M-Pesa App na kampeni bora ya masoko mtandaoni ambapo kampeni ya  “Yajayo Yanafurahisha” ilishinda.