Home Michezo MASHINDANO YA REDE YAUNGA MKONO JUHUDI ZA JPM,YAWAIBUA WAJASIRIAMALI JIJINI TANGA

MASHINDANO YA REDE YAUNGA MKONO JUHUDI ZA JPM,YAWAIBUA WAJASIRIAMALI JIJINI TANGA

0

Muandaaji
wa Mashindano ya Rede 2021 Nassoro Makau ambaye
pia ni Mkurugenzi wa Five Borthers akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu kuelekea fainali za Mashindano hayo kesho kushoto ni Afisa kutoka
Idara ya Usimamizi Tanga Fresh Bakari Mohamed na anayefuatia ni Mratibu
wa Mashindano hayo Zaituni Mango kulia ni
Meneja Masoko
na Mauzo wa Kampuni ya Anjali Soda Factory Saa Mumy Mohamed

Muandaaji
wa Mashindano ya Rede 2021 Nassoro Makau ambaye
pia ni Mkurugenzi wa Five Borthers akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu kuelekea fainali za Mashindano hayo kesho kushoto ni Afisa kutoka
Idara ya Usimamizi Tanga Fresh Bakari Mohamed na anayefuatia ni Mratibu
wa Mashindano hayo Zaituni Mango
Meneja Masoko
na Mauzo wa Kampuni ya Anjali Soda Factory Saa Mumy Mohamed
akizungumza wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari leo kushoto
Muandaaji wa Mashindano ya Rede 2021 Nassoro Makau ambaye
pia ni Mkurugenzi wa Five Borthers
Mratibu wa Mashindano hayo Zaituni Mango akizungumza wakati wa mkutano huo

Msemaji wa Kampuni ya Five Brothers  Hamis Kanda akizungumza wakati wa mkutano huo
MKURUGENZI wa Arbab TV akiuliza swali wakati wa mkutano huo
 

MASHINDANO
ya Rede 2021 yameunga mkono kwa vitendo juhudi za Rais Dkt John Magufuli za
kuwawezesha wanawake katika kujikita kwenye ujasiriamali ili waweze kujikwamua
kiuchumi wao na jamii zao.

Fainali
ya Mashindano hayo huchezwa kila mwaka mkoani Tanga yanayoandaliwa na Kampuni ya
Five Brothers Intertainment itafanyika kesho kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani
Jijini Tanga  huku mgeni rasmi akitajwa
kuwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Abdurahaman Shillow

Hatua
hiyo inatokana na kwamba baadhi ya zawadi ambazo zinatolewa kwa washiriki hao
kama chachu ya kwenda kuanzisha shughuli ndogo ndogo za ujasiriamali ambazo
zitawezesha kujikwamua na kupata kipato halali na hivyo kuondoa utegemezi
kwenye jamii zao.

Akizungumza
na waandishi wa habari leo,Muandaaji wa Mashindano hayo,Nassoro Makau ambaye
pia ni Mkurugenzi wa Five Borthers alisema kwamba mashindano hayo yaliyoanza
mwaka 2017 yameibua wakina mama wengi ambao kwa sasa wanaendelea na shughuli za
ujasiriamali.

“kesho
Jumapili ni Fainali za Mashindano hayo na tunatarajia mgeni rasmi kuwa Meya wa
Jiji la Tanga na wageni waalikwa kushudu fainali ambapo bingwa mpya atatangazwa”Alisema
Mkurugenzi huyo

Alisema
kwamba zawadi zitatolewa kwa mshindi wa kwanza mpaka wa sita ikiwemo wa sabu
mpaka 11 wanazawadi zao na wa tano mpaka 11 watakapat bidhaa kutoka Kampuni ya
Azam soda na cheti.

Muandaaji
huyo alisema mshindi wa kwanza atapata kombe kubwa lenye hadhi ya kimataifa na kitita
cha pesa taslimu 150,000 watapata medali za dhahabu,watapata ngano kilo 25
kutoka kwa AA Shehoza Limited na mafuta lita 10 ambazo zitawezesha wajikite
kwenye ujasiriamali ikiwemo soda .

Alisema
mshindi wa pili atapata fedha taslimu 100000,medali za `Silver,ngano 15kg,soda
na maji kutoka Anjari huku mshindi wa tatu fedha taslimui 70,000 ,mafuta,ngano
10g ,soda,cheti na maji   na maziwa
watapata.

Hata
hivyo alisema washindi wengine watapata fedha ,ngano mafuta,cheti soda huku
mchezaji bora  atapata fedha taslimu,kikombe
kidogo na mwaka huu mhamasishaji bora atapata ,timu yenye nidhamu,walikuwepo nje
wanaweza kuona shindano hilo moja kwa moja.

Awali
akizungumza katika mkutano huo Meneja Masoko
na Mauzo wa Kampuni ya Anjali Soda Factory Saa Mumu Mohamed alisema wameamua
kudhamini ili kuweza kuunga mkono tamaduni za Tanza za mchezo wa rede.

Alisema
pia wamedhamini ili kuenzi tamaduni za Tanga na wamedhamini kupitia maji yao ya
kiu na maji ambayo yanatengeneza Tanga huku akieleza mipango yao ni kuendelea
kudhamini msimu unaokuja wanatarajia kuongeza nguvu kubwa ya udhamini.

“Lakini
sisi kama Ajali tunaweza kuona namna nzuri ya kuwasaidia kuwawezesha wanawake
wanaoshiriki mashindano hayo kupata mitaji ambayo itakuwa chachu kubwa kwao
kufikia malengo yao”Alisema

Timu
ambazo zitacheza fainali hiyo ambayo itachezwa kesho Jumapili ni Tanga Kwanza ambaye
ni Bingwa Mtetezi kugombea kombe hilo ambaye atacheza na