Mkurugenzi wa Taasisi ya Dira Women Organization (DIWO) Shamsa Danga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafunzo hayo |
Afisa Maendeleo ya Jamii wilayani Muheza Damiano Apolinary akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo |
Meza Kuu wakifuatilia matukio mbalimbali |
AFISA uendeshaji Biashara kutoka SIDO Tanga GladnessFoya akizungumza wakati wa mafunzo hayo |
Mwezeshaji wa Mafunzo ya Sabuni na Vipodozi Farida Swalehe akitoa elimu |
Mkurugenzi wa Taasisi ya Dira Women Organization (DIWO) Shamsa Danga akipanga bidhaa mbalimbali wakati wa mafunzo hayo
Sehemu ya wakina mama wajasiriamali walioshiriki mafunzo hayo
TAASISI
ya Dira Women Organization (DIWO) imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo
wanawake wajasiriamali wa Kikundi cha TADAHA Women Products kilichopo
Kibanda kwa Semkopi wilayani Muheza Mkoani Tanga ili waweze kutengeneza
bidhaa zenye ubora na viwango vinavyokubalika.

Mafunzo
hayo yamedhaminiwa na Taasisi ya Diwo ambao wamekwenda kuwajengea uwezo
wanawake hao wajasiriamali ili watumie ujuzi huo kujikomboa kiuchumi
ikiwemo kutengeneza bidhaa ambazo zitakuwa na ubora mzuri.

Akizungumza
wakati wa Mafunzo hayo,Mkurugenzi wa Taasisi ya Dira Women Organization
(DIWO) Shamsa Danga yaliyofanyika wilayani Muheza ambapo alisema
mafunzo hayo yatawawezesha wanawake hao wajasiriamali kujengewa uwezo wa
kusimama imara na kutumia fursa zilizopo ili kujipatia kipato.

Alisema
kwamba awali waliwakuta wanatengeneza sabuni bila ya kupata mafunzo
yalio rasmi huku wakikabiliwa na vikwazo mbalimbali na ndipo walipoona
wawapatie mafunzi ambayo yatawawezesha kufanya shughuli za ujasiriamali
wao kwa tija kubwa na mafanikio kuliko ilivyokuwa awali.

“Kikundi
hiki tulipokutana nacho tuliwakutana na cheti lakini hakikuwa
kinajulikana kisheria na nilitamani wajisajili ili waweze kujulikana.Cha
kwanza niliwasaidia kusajili jina la kikundi chao cha TADAHA Women
Products Brela na kusaidia alama za bidhaa za kibiashara (Barcode)
”Alisema

Alisema kwa sababu kama unatengeneza bidhaa zao bila kuwa na alama za
kibiashara
huwezi kutanua soko lako sababu kuna sehemu nyingine huwezi kuuza kama
super market na maduka makubwa lakini hauwezi. Lakini pia wanatakiwa
wapate alama ya ubora wa bidhaa kutoka TBS.

Akizungumzia
vikwazo ambavyo wanakumbana navyo wanawake wajasiriamali alisema moja
wapo ni kutokupewa nafasi hivyo viongozi wa maeneo mbalimbali hapa
nchini waone namna nzuri ya kushirikiana nao ili kusaidia kuwakwamua
kiuchumi kwani itakuwa ndio fursa ya jamii nayo

kuinuka kimaendeleo.
“Kwa
kweli ni muhimu viongozi wa ngazi mbalimbali kuona namna nzuri ya
kushirikiana na wajasiriamali kwa kuona namna ya kuwasaidia kwa lengo la
wao waweze kufikia malengo yao kwani hata Rais Dkt John Magufuli
amekuwa akishirikiana nao hivyo waige mfano huo “Alisema

hapa Muheza mimi nimshukuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza kwani
amekuwa na ushirikiana mkubwa kwa wadau mbalimbali ambao wanafika kwake
na hii itasaidia kuwarakisha gurudumu la maendeleo yawananchi”Alisema

Kutokana
na hali hiyo alilazimika kuwaunganisha na SIDO Mkoa wa Tanga na siku ya
wanawake duniani wakaona wazindue mafunzo ya wajasiiriamali kwa
wanawake wa Tadaha Women Products kwa wiki moja ambayo yatakuwachachu
kubwa kwao kuweza kufikia malengo yao

Awali
akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo ,Amiri Msuya kutoka Ofisi ya
Mkurugenzi wa Halamshauri ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga aliipongeza
Taasisi hiyo kwa kutoa mafunzo hayo huku akieleza kwamba ni matumaini
yatakuwa chachu kubwa kwa walengwa kuweza kufikia malengo yenu kwa
kutumia fusa zinazowazunguka kwa ajili ya kuinua vipato vyetu na
hatimaye kuboresha maisha yao kwa kufauata sheria za nchi zilkizokwe.

kwa sababu Kwenye kumkomboa mwanake wa kitanzania sio jukumu la
serikali pekee bali pia wahisani kama DIWO kwa sababu lengo la serikali
ni kumfanya mwanamke aweze kujitegemea na kuondokana na hali ya
utegemezi.

Alisema jambo
hilo ambalo limekwisha kuanza kuondoka kwa wanawake kwa sababu
wamekwisha kuanza kujitambua na wamekuwa wakitafuta fedha kuliko wanaume
na kuondoa ile dhana ya kwamba wao wamekuwa ni tegemezikwa kila kitu
kwenye jamii.

“Wanawake
dhana ya kujitegemea tuitumie kwa vitendo kwa sababu akifundishwa na
mwamnanke na mwamaume mwanamke anauwezo wa kuelewa haraka zaidi kuliko
mwaume kwa asilimia 75 ila wanasahau haraka kuliko wanaume hivyo tumieni
nafasi hii ya kuelewa kwenu kwa haraka

kuwasaidie kubadilisha mfumo wa maisha yenu”Alisema .
Kaimu
Mkurugennzi huyo alisema kwamba ili wazalishe sabuni kuna kemikali
ambazo zinaweza kutumika hivyo washiriki wa mafunzo wakayatumie kwa
vitendo ujuzi huo ambao wameupata ili kuzalishiakipato na mchango kwao
na serikali.

“Lakini siku
ya mwanamke dunia kama leo ni mwanzo mpya wa kumfanya mwanamke aiende
kwenye ulimwengu bora kuliko ambako alikuwa ametoka hivyo mafunzo hayo
yatawasaidia kuweza kufikia ndoto zenu za kujikwamua “Alisema Kaimu
Mkurugenzi huyo.

Naye kwa
upande wake Katibu wa Kikundi cha Tadaha Women Products bi Magreth
Mngazija alisema kwamba mafunzo hayo yatawasaidia sana maana wanaona
walipotoka na wanapokwenda yatakuwa chachu kubwa kwao kufikia malengo
yao.

Alisema pia elimu
hiyo walioipata wataitumia kama chachu ya kuweza kujikwamua kiuchumi kwa
kutengeneza bidhaa bora ikiwemo kuwasaidia wana vikundi vyengine
vilivyopo kwenye maeneo yao kwa kuwapatia ujuzihuo