Watumishi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wakiwa kwenye maandamano ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Mlimani City leo tarehe 08/03/2021 Jijini Dar es Salaam.KAULI MBIU: Wanawake katika Uongozi Chachu Kufikia Dunia Yenye Usawa.
Watumishi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wakipata p[icha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Mlimani City leo tarehe 08/03/2021 Jijini Dar es Salaam.KAULI MBIU: Wanawake katika Uongozi Chachu Kufikia Dunia Yenye Usawa.
TPDC YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM
