Serikali ya Tanzania itaendelea kutekeleza Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Miradi iliyotembelewa ni pamoja na Eneo Maalum la Uwekezaji wa Kigoma (Kigoma Special Akiwa kwenye eneo Maalum la Uwekezaji, Prof. Kadhalika Mhe. Prof. Kabudi na Wajumbe wengine “Kampuni yetu ni ya kwanza kuwekeza kwenye eneo Pia alijulisha kuwa, Kampuni yake imeajiri Katika ziara yao kwenye eneo la Bandari Wakiendelea na ziara ujumbe huo ulitembelea Mhe. Prof. Kabudi pamoja na Waziri wa Mambo ya Akitoa hotuba kuhitimisha ziara kwenye miradi |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi,Mhe. Balozi Albert Shingiro wakimsikilizaMkurugenzi wa Eneo Maalum la Uwekezaji la Kigoma (KiSEZ), Bw. Omar walipotembelea eneo hilo ili kujionea miradi ya uwekezaji iliyopo. Ziara hiyoilifanyika tarehe 6 Machi 2021 ikiwa ni sehemu ya kuhitimisha mkuatano wa sita wa tume ya pamoja ya kudumu uliofanyika kati ya Tanzania Burundi Mkoani Kigoma tarehe 3 hadi 5 Machi 2021. |
Mmoja wa Wataalam katika kampuni ya kufua umeme wa jua ya …akitoa maelezo kuhusu mitambo mbalimbali inayotumika kufua umeme huo. |
Prof. Kabudi kwa pamoja na Mhe. Balozi Shingiro wakiangalia Asali inayozalishwa na Kampuni ya Upendo |
Mhe. Pfof. Kabudi kwa pamoja na Mhe. Balozi Shingiro wakiangalia mapipa ambayo hutumika kusafirisha Asali nje |
Mhe. Prof. Kabudi akiangalia nta iliyokuwepo kwenye Kampuni ya Asali ya Upendo |
Mhe. Prof. Kabudi kwa pamoja na Mhe. Balozi Shingiro wakimsikiliza Mkurugenzi wa TANROAD-Kigoma, Mhandisi Narcis Choma alipokuwa akitoa taarifa fupi kuhus ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma |
Mhe. Prof. Kabudi akionesha eneo ambalo mita 1300 za barabara ya kurushia na kutua ndege zitaongezwa |
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Mhandisi Deusdedit Kakoko akitoa maelezo kuhusu Bandari Kavu hiyo |
Mawaziri wakimsikiliza Mhandisi Kakoko walipowasili kwenye Bandari ya Kigoma |
Mhe. Dkt. Chamuriho naye akizungumza kuhusu masuala ya uchukuzi bandarini hapo |
Nahodha Mnyanyi akitoa maelezo kuhus meli ya MV Liemba |
Balozi Ibuge nae akisaini kitabi cha wageni kwenye Meli ya MV Liemba |
Mhe. Prof.Kabudi akiwa kwenye chumba cha nahodha huku akionesha namna meli hiyo inavyoendeshwa |
Mhe. Balozi Shingiro nae akijaribu usukani wa meli hiyo kongwe nchini |
Waheshimiwa viongozi wakifurahia kuwa ndani ya meli hiyo yenye historia kubwa |
Mhe. Prof. Kabudi akiwa ameongozana na Mhe. Balozi Shingiro wakiteremka kutoka kwenye Meli ya MV Liemba baada ya kutembelea meli hiyo |
Makatibu Wakuu wakiwa kwenye Ofisi za Forodha za Tanzania mpakani Manyovu |
Mhe. Prof. Kabudi akionesha eneo ambalo Kituo cha OSBP kitajengwa |
Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Jilly Maleko akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Thobias Andengenye na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Bw. Frank Mwega wakati wa ziara huko Manyovu |
Mhe. Prof. Kabudi akiwa na Mhe. Balozi Shingiro wakivuka mpaka kuelekea Burundi kwa ajili ya kujionea eneo ambalo limetengwa na Serikali ya Burundi kwa ajili ya ujenzi wa OSBP |
Mhe. Prof. Kabudi akiwa na Mhe. Balozi Shingiro wakiangalia jiwe ambalo ni mpaka kati ya Tanzania na Burundi |
Hotuba |
Picha ya pamoja ya viongozi wakionesha upande wa Tanzania |
Picha ya viongozi wakiwa mpakani |
Picha ya pamoja |