Home Mchanganyiko Tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival laendelea, Vodacom Tanzania na WWF wasimamia zoezi...

Tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival laendelea, Vodacom Tanzania na WWF wasimamia zoezi la upandaji miti

0

Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald akizungumza kwenye siku ya pili ya tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival linaloendelea wilayani humo.

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Mhe . Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald 

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo (katikati) akiotesha mti kwenye eneo la hifadhi ya msitu wa mazingira asilia wa Kazimzumbwi wilayani humo,  ikiwa ni sehemu ya tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival linaloambatana na upandaji miti ili kutunza mazingira pamoja na shughuli mbalimbali za utalii. Kulia ni Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald ambao ni wafadhili wa tamasha hilo na Mhifadhi Mazingira kutoka WWF, Dkt. Severin Kalonga . WWF na Vodacom Tanzania ni wadau wa kulinda na kutunza mazingira nchini.