Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo  akishiriki zoezi la usambazaji nyaya za umeme  katika Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo eneo hilo  kulikua na  changamoto ya huduma ya umeme kwa muda mrefu

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo(wapili kulia), akishuhudia zoezi la usambazaji nyaya za umeme  katika Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo eneo hilo kulikua na  changamoto ya huduma ya umeme kwa muda mrefu Unguja .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi