Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo akishiriki zoezi la usambazaji nyaya za umeme katika Kijiji cha Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo eneo hilo kulikua na changamoto ya huduma ya umeme kwa muda mrefu
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo(wapili kulia), akishuhudia zoezi la usambazaji nyaya za umeme katika Kijiji cha Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo eneo hilo kulikua na changamoto ya huduma ya umeme kwa muda mrefu Unguja .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi