Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akibofya kitufe kuzindua rasmi studio mpya za Channel Ten Plus TV,
Radio Magic FM na Radio Classic FM katika jengo la Jitegemee mtaa wa
Lumumba jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 25, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia wimbo wa “BABA” Wasanii Profesa Jay na Stamina
wakati alipozindua rasmi studio za Channel Ten Plus TV katika jengo la
Jitegemee mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari
25, 2021.
PICHA NA IKULU