Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiwasili mtaa. wa Lumumba jijini Dar es salaam kuzindua
rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studio za
Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi
Februari 25, 2021
Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akizundua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studi za
Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi
Februari 25, 2021
Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa katika studio mpya za Magic FM baada ya kuzindua rasmi jengo la
Jitegemee House pamoja na Studio za
Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM Mtaa wa Lumumba
jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 25, 2021
Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiondoka baada ya kuzindua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na
Studi za
Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi
Februari 25, 2021 Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akitembelea maeneno mbalimbali baada ya kuzindua rasmi jengo la
Jitegemee House pamoja na Studio za
Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi
Februari 25, 2021.
PICHA NA IKULU