Muonekano kutoka angani wa jengo jipya la Soko Kuu la
Kisutu katika Barabara ya Bibi Titi Mohamed jijini Dar es salaam
ambalo limekewa jiwe la msingi na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa jengo jipya
la Soko Kuu la Kisutu katika Barabara ya Bibi Titi Mohamed jijini Dar
es salaam : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa jengo jipya la
Soko Kuu la Kisutu katika Barabara ya Bibi Titi Mohamed jijini Dar es
salaam.
PICHA NA IKULU