RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametangaza siku sab za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad kilichotokea leo Jijini Dar es salaam.
(Picha na Ikulu)