RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Kama Wilaya ya Kaskazini B Unguja kumtembelea na kuzungumza nae leo 12-2-2021.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais wa Mstaaf, alipofika kumtembelea na kuzungumza nae nyumbani kwake Kama Wilaya ya Kaskazini B Unguja.(Picha na Ikulu)