Spika wa Bunge, Job Ndugai akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Balozi Mstaafu, Ami Mpungwe alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Balozi Mstaafu, Ami Mpungwe alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma. Kushoto ni Afisa Mkuu Masuala ya Udhibiti kutoka Kampuni ya Simu ya Tigo, Sylvia Balwire
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Balozi Mstaafu, Ami Mpungwe alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na ugeni kutoka Equity Benki ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Robert Kiboti (wapili kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko, Godwin Semunyu na Mkuu wa Kitengo cha Biashara, Isabela Maganga
Spika wa Bunge, Job Ndugai katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Balozi Mstaafu, Ami Mpungwe alipomtembelea leo ofisini kwake
Spika wa Bunge, Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Equity Benki, Robert Kiboti alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma.