Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisikiliza changamoto mbalimbali wanaziokumbana nazo wafanyabishara
katika Soko Kuu la mji wa Morogoro alilplizindua na kulipa jina la
Soko Kuu la Chifu Kingaru Alhamisi Febeuari 11, 2021
PICHA NA IKULU