Kaimu Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Ndg. Mohammed Ally Ahmed akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha Baraza hilo kilichofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Francis Mutungi akielezea jambo wakati wa kikao cha Baraza hilo leo kilichofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi Ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam
Mwakilishi wa Kamishna wa Kazi toka Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikie masuala ya kazi, Ndg. Mshelela Deusdedith akiwasilisha mada kuhusu umuhimu wa Baraza la Wafanyakazi mbele ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Idara ya Afya na Serikali Kuu (TUGHE) Tawi la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Ndugu Salim Mokiwa akiwasilisha hoja za TUGHE mbele ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) kilichofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Idara ya Afya na Serikali Kuu (TUGHE) Mkoa wa Dodoma, Ndg. Anthelmus Tarimo akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) katika mkutano wa Barza hilo uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Ndg. Sisty Nyahoza akisisitiza jambo mbele ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Ndg. Hollo Kazi akichangia mada wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Ndg. Peter Lyimo akichangia mada wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Ndg. Edina Assey akijibu hoja wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakifuatilia mada wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Ndg. Emmanuel Msengi akiwasilisha mada kuhusu Bajeti ya Ofisi ya ORPP wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Ndg. Edmund Mugasha akiwasilisha mada kuhusu masuala ya fedha na majukumu ya Kitengo cha Uhasibu wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Wasimamizi wa uchaguzi wakihesabu kura zilizopigwa kwa ajiliya kuwachagua Katibu na Katibu Msaidizi wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuzida nafasi iliyoachwa wazi na Katibu anayemaliza muda wake wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Sias, Ndg. Jihadhari Said Mwinshehe akitoa shukrani mara baada ya kuchaguliwa kushika wadhufa huo wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Francis Mutungi (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) mara baada ya kumaliza kikao cha Baraza hilo kilichofanyika leo tarehe 10 Februari 2021 katika ukumbi wa Adam Sapi Mkwama Ofisi Ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. (Picha zote na ORPP).