Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto)akizungumza na ugeni kutoka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kutoka Jijini Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Chuo, Prof. Emmanuel Mjema (kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emmanuel Mjema (kushoto) alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (watatu kushoto) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), walioongozwa na Mkuu wa Chuo, Prof. Emmanuel Mjema (wa pili kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)