Home Michezo KLABU YA SIMBA KUCHAGUA MWENYEKITI LEO UKUMBI WA (JNCC) JIJINI DAR ES...

KLABU YA SIMBA KUCHAGUA MWENYEKITI LEO UKUMBI WA (JNCC) JIJINI DAR ES SALAAM

0

Wanachama wa Klabu ya Simba wakijisajili mapema leo kabla ya kuingia kwenye mkutano wa uchaguzi wa kujaza nafasi ya mwenyekiti wa klabu hiyo.

  Kamati ya uchaguzi ya Simba chini ya mwenyekiti wake  Boniface Lihamwike iliwapitisha aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Chemba, Juma Nkamia na Mbunge wa zamani wa Kilwa, Murtaza Mangungu. kugombea Uenyekiti wa klabu hiyo.

Katika uchaguzi huo mdogo uliopangwa kufanyika leo Februari 7, 2021, Nkamia pia aliwahi kuwa Katibu Mwenezi wa Simba.