Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (kushoto) akiwasili katika Kituo cha Michezo cha Azam Complex na kupokelewa na viongozi wa kituo hicho pamoja na viongozi wa wizara Wakati waziri huyo alipotembelea kituo hicho jana 3 Feb 2021 kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo hicho.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (kushoto) akipata maelekezo toka kwa Mkuu wa Kitengo cha Habari wa Kituo cha Michezo cha Azam Complex Wakati waziri huyo alipotembelea kituo hicho jana 3 Feb 2021 kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo hicho.
Muonekano wa jengo la kula chakula kwa wachezaji wa Kituo cha Azam Compex.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (katikati) akipata maelekezo toka kwa Viongozi wa Kituo cha Azam Complex akiwa ndani ya moja ya bweni la kulala wachezaji Wakati waziri huyo alipotembelea kituo hicho jana 3 Feb 2021 kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo hicho.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa akishuka katika gari maalum la kurusha matangazo ya moja kwa moja Wakati waziri huyo alipotembelea kituo cha Azam Complex jana 3 Feb 2021 kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo hicho.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (kulia) akipita katika kifaa maalum cha kuua virusi vya COVID 19 Wakati waziri huyo alipotembelea kituo cha Azam Complex jana 3 Feb 2021 kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo hicho.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (mwenye t-shirt nyeupe) akipata maelekezo toka kwa mtaalam wa bwawa la kuogelea la kituo cha Michezo cha Azam Complex Wakati waziri huyo alipotembelea kituo hicho jana 3 Feb 2021 kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo hicho.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam