Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akisalimiana na Msanii wa kizazi kipya (Bongo Flava) na Mbunge wa zamani wa jimbo la Mikumi wakati wa kuhitimisha tamasha la Wasafi (Wasafi Festiva) lililofanyika Uwanja wa Uhuru Januari 30, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiteta jambo na Msanii wa kizazi kipya Barnaba Boy wakati wa kuhitimisha tamasha la Wasafi (Wasafi Festiva) Januari 30, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akibadilishana namba za simu na DJ Romy Jones wakati wa kuhitimisha tamasha la Wasafi (Wasafi Festiva) lililofanyika Uwanja wa Uhuru Januari 30, 2021 Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa (wa tatu kulia) akiwasikiliza wasanii wa kizazi kipya (Bongo Flava) wakati wa kuhitimisha tamasha la Wasafi (Wasafi Festiva) lililofanyika Uwanja wa Uhuru Januari 30, 2021 Jijini Dar es Salaam. Wa tatu kushoto ni Mbunge wa Morogoro Vijijni Kusini Hamis Taletale (Babu Tale).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiteta jambo na wasanii wa kizazi kipya (Bongo Flava) nchini wakati wa kuhitimisha tamasha la Wasafi (Wasafi Festiva) lililofanyika Uwanja wa Uhuru Januari 30, 2021 Jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Msanii Mbosso na wa pili kushoto ni msanii Zuchu
(Picha na Kitengo cha Mawsiliano Serikalini, WHUSM, Dar es salaam)