Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akisaini kitabu cha wagenii katika banda la Mahakama alipotembeea maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akiangalia picha za waliokuwa Majaji Wakuu wa Tanzania katika banda la Mahakama alipotembeea maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akiangalia moja ya nyaraaka zinazohusu uendeshaji wa mashauri mahakamani wakati alipotembelea maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akisikiliza maelezo ya jinsi Mahakama inayotembea inavyoendesha shughuli zake alipotembelea maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akisikiliza maelezo juu ya uendeshaji wa mashauri kwa njia ya mtandao unavyofanywa na Mahakama ya Tanzi wa Mahakama unaofanywa na Mahakama ya Tanzania alipotembelea maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akisikiliza maelezo juu ya ujenzi wa Mahakama unaofanywa na Mahakama ya Tanzania katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akiangalia moja ya vitabu katika banda la Mahakama ya Haki ya afrika Mashariki alipotembeea maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akisikiliza maelezo ya muoneshaji katika banda la Chuo cha Uongozi wa Mahakama – Lushoto (IJA) katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa waoneshaji katika Banda la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) wanaoshiriki maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akiulizia kitu katika moja ya machapisho aliyoyakuta katika banda la Wizara ya Katiba na Sheria alipotembelea maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma