Home Michezo SIMBA SC YASAJILI BEKI KUTOKA ZIMBABWE PETER MADUHWA

SIMBA SC YASAJILI BEKI KUTOKA ZIMBABWE PETER MADUHWA

0

BEKI wa kimataifa wa Zimbabwe, Peter Muduhwa amejiunga na Simba SC kutoka Highlanders FC ya kwao, Bulawayo kuimarisha kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kabla ya kuanza kwa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa.