KIKOSI cha Al Hilal ya Sudan kimewasili nchini tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya wenyeji, Simba SC kwenye michuano maalum ya timu tatu, nyingine TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
AL HILAL YA SUDAN YAWASILI KUWAVAA SIMBA SC KESHO MICHUANO YA SIMBA SUPER CUP
By Alex Sonna
January 26, 2021 | 5:20 pm

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
SIMBA SC YAANZA LIGI KUU KWA USHINDI WA 2-0 DHIDI YA KAGERA SUGAR
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa…
Michezo
2 days ago
YANGA SC YAICHAPA NAMUNGO 3-1 MTWARA
Mabigwa Watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa…
