BAADHI ya Wateule Makatibu Wakuu na Manaibi wakipitia hati ya Kiapo kabla ya kuaza zoezi la kuapishwa kuwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali za SMZ, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Wageni waalikwa na Wanafamilia wakifuatila hafla ya kuapishwa Makatibu Wakuu wapya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akumuapisha Ndg. Seif Shaban Mwinyi kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Mussa Haji Ali kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt. Juma Malik Akil, kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Omar Dadi Shajak kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar,wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Abeida Rashid Abdalla, kuwa Naibu Katibu Mkuu (Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto) Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya kiapo Bi. Abeida Rashid Abdalla, kuwa Naibu Katibu Mkuu (Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto) Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza kula kiapo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Suzan Peter Kunambi. kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja , hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar (Picha na Ikulu).