RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Dino Stengel (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw. Dino Stengel na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Wajumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ikionesha mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania.Bw.Dino Stengel, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)